Wawesh Mjanja - Bado Nakupenda lyrics

Published

0 376 0

Wawesh Mjanja - Bado Nakupenda lyrics

Lala lala lala lala laalaaa Verse 1 : Yah! mungu alinibariki na lugha Nikakua pproach Mungu alikubariki na sura na body moja hot mungu angetubariki najua ndio maana nilikustop Na wazazi wakitubariki itakua full stop Kwangu penzi ilikua tu ugonjwa ya akili Aha hadi uliponikubali mimi Bado najuta sana ulinifanya lolote juu mguu taratibu hukanyaga popote Now love ikashika hawangetushika Kwa keja ni mapicha kwa fb na twitter Menu penzi nyama quarter na mboga mcicha Tukapanga kuita mtoi jamila na akue na sista Pacha ka inaweza ndio washoneshwe ma t shirts Miaka moja imepita tuko na love bila do Bado landlord anainsist kwa mlango ananock Hii hustle itajipa nataka nikukumbushe kwamba Chorus: Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe Verse 2 So after maombi na ku fast nikapata kazi Love yetu ilikua poa ndio but tulihitaji ganji Nikawa busy nikiingia home uko usingizi Hakuna utamu kwa dishi umenifunikia tu ndizi At some point tuligombana ndio maisha tulitaka Grandma alinishow hakuna refund kwa mganga Sababu kitanda ni ya kurest tu si kulala Ku make it worse nikapewa transfer Rwanda Its either sonko hanitakii but aliblanda All along tulipigania hii maisha ndio i have it Pia misemo hudanganya ati patience is a virtue Chelewa chelewa utapata mwana si wako So sikuhizi mi hupiga hata hushiki Sikuhizi mi hupika hata si dishi Niko sufuri zero wewe bila mimi Hii hustle itajipa nataka nikukumbushe kwamba Chorus: Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe Nakupenda Nakupenda Nakupenda weweeee Verse 3: Huku Rwanda niko karibu kuvutwa kazi Kujazwa wasiwasi nilisikia una mshikaji Nikikuuliza ati ni gazeti za mtaani Kukuskia ntakua poa nikikuona ntakua zaidi Watu hufake mikono hizi barua hazifaidi Juzi haukushika simu jana na leo Naskia pia umehama unaenda kuwa mkeo Harusi wamepanga kwa leso uteo na Ni ya kisasa hadi ulinitumia video Niko rwanda sina mshikaji bila kazi Simu yenyewe bure haiwezi kuokoa jahazi Nakukumbusha bahati kuwa nakupenda Lala lala lala lala lala laalaa la laaa Yaani mapenzi imenitenda sana Lakini natumai katika hii safari yangu ya mapenzi Nitapata ile ya ukweli Asante sana chuli