Vanessa Mdee - Hawajui lyrics

Published

0 846 0

Vanessa Mdee - Hawajui lyrics

[Intro] Nahreel wussup wussup wussup wussup [Chorus] Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 [Verse 1] Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka Kila siku beki leo kipa nimekudaka [Bridge] We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa [Chorus] Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 [Verse 2] Choko choko ndiyo mambo mliozoea Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda [Bridge] We mwanadamu gani uliyekosa aibu Kunisema kwa ubaya Na ukiapa kwa Mungu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa [Chorus] Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 [Bridge] We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi Zogoa Zogoa Kila Siku Zogoa Zogoa Ukilala Zogoa Zogoa [Chorus] Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na na ndiyo maana Hamuishi kutukana x2 Written by: Elias Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono Produced by: Nahreel