[Intro: Ann Peebles] (Extract) You see, the hand writing is on the wall I just looked up, and read it all You're getting ready to call it off The handwriting is on the wall The handwriting is sure on the wall [Verse 1: Vioxii] Yooh! aah! yeah! Vioxii Waandishi wamekubali, ila maandishi yamekataa Basha mitaki maandishi ya mwandishi mwenye njaa Chanzo cha balaa sio uwanzilishi wa sanaa Ni uwadilifu wana kalaya waandishi kwa hii sanaa Jamii inapotoshwa na waandishi wenye tamaa Skiza radio utashangaa Vipi sito-dishi na mpishi kisha dua Kisiki kizingiti na mziki zimebung'aa Maandishi ndio zile siri serikali inatuficha Maandishi ndio dini Bible, Koran inafundisha Maandishi ni sheria, kwa msingi wa katiba kuu mwan*lisha mwanasiasa mahali ya uma hadharani kuiba Maandishi ni elimu tena maandishi ni ujinga Maandishi ni tiba na vile vile pia ni kinga Maandishi ndio ujumbe ambao maskini anakosa Tena maandishi ni silaha ya matajiri ndiposa Waandishi washakubali kihekima wamepofuka [Hook: Vioxii] Kwa magazeti na radio Ni maandishi kwenye ukuta Kwa mitandao na runinga Ni maandishi kwenye ukuta Kwa Bibilia na kuran Ni maandishi kwenye ukuta Unachukia nini wewe? Ni maandishi kwenye ukuta Katiba ya hii inchi Ni maandishi kwenye ukuta Unachopitia kila siku Ni maandishi kwenye ukuta Unyanyasaji na dhulma Ni maandishi kwenye ukuta Maaktaba ya mitaa Ni maandishi kwenye ukuta [Verse 2: Trabolee] Shamba ni la wanyama wacha tulime Ujumbe ndio jembe msela usipime Time ina-fly na mimi nadai kuwa light I can't carry the luggage Kwa barabara ya life unaeza poteza drive, so wacha thoughts zi run maliza mileage Tra where you at?, am trapped between a bottle of rhyme na holy pa**age Still I wanna reach you all like a righteous k**ing So kwa hizi bars na wrestle na spirits Waliniambia God is love lakini kaa Jacob I still fight the feeling Na hitaji paint ndio ni paint graphic Am running sane kabla wani-chain nafsi Keep the pis' tucked tightly in your soul Niko na split psyche na nyufa zangu si zizibi juu nataka u-crack this code Soma hand writing on the wall (Una maandishi kwenye ukuta*x2) [Hook: Vioxii] Kwa magazeti na radio Ni maandishi kwenye ukuta Kwa mitandao na runinga Ni maandishi kwenye ukuta Kwa Bibilia na kuran Ni maandishi kwenye ukuta Unachukia nini wewe? Ni maandishi kwenye ukuta Katiba ya hii inchi Ni maandishi kwenye ukuta Unachopitia kila siku Ni maandishi kwenye ukuta Unyanyasaji na dhulma Ni maandishi kwenye ukuta Maaktaba ya mitaa Ni maandishi kwenye ukuta [Verse 3: Romi Swahili] Tuki-recite maombi na creed is all fair kwa love na vita Kwa life support overseas vision yako ina-recede Another loss Kwa ma-warlord another crumble ya cookie Life yako ilitumika kaa fungu la kumi in the line of duty Kuzuia Atlantis kuzama ukabeba weight ya silaha na lawama Historia haina space ya ma-soldier hutumia life yao kulipia gharama Ambia mama, atayarishe requiem nimepata salvation kwa revolver Kwa hii dunia ya nuclear giants bado ni ma-ethical toddler Wanacheza P.R formally Kutumia journal za ma-journalist Spirit drunk on formalin Handshakes zikificha anomaly Waki-occupy na kuu conquer, kuu ongeza reaper robota Kwa ma-victim wa manslaughter family ziko awarded na dog tags Kumbuka tuki-unda fortress kutumia sticks na kokoto Back then, it used to be all peace na bliss tukiwa watoto Sahi tuna-feel pain yako, tuki-pa** lighter sticks na misokoto Wishing unge-cheki sign maybe ungehepa hio baptism ya moto [Hook: Vioxii] Kwa magazeti na radio Ni maandishi kwenye ukuta Kwa mitandao na runinga Ni maandishi kwenye ukuta Kwa Bibilia na kuran Ni maandishi kwenye ukuta Unachukia nini wewe? Ni maandishi kwenye ukuta Katiba ya hii inchi Ni maandishi kwenye ukuta Unachopitia kila siku Ni maandishi kwenye ukuta Unyanyasaji na dhulma Ni maandishi kwenye ukuta Maaktaba ya mitaa Ni maandishi kwenye ukuta [Ann Peebles;] The hand writing is on the wall(while fading)