Temba - Go Down lyrics

Featuring ,

Published

0 273 0

Temba - Go Down lyrics

Intro Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Onana onana nana Onana onana macho yanaita macho macho yanaita Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Verse - Chege Once upon time once upon rhyme Nakumbuka Marry alikusumbua Once upon time once upon rhyme Ulijitahidi sana bado ukachengua Umekumbwa na jini gani Mbona mami hautuelewani Hata jini kisilani sio kama wewe Wala jini Makata Hakufikii wewe Kosa langu kukuweka ndani Haijulikani ndani mwanaume nani Kila siku vituko tu Mara moja moja babe unajiweka down Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Verse - Temba and Chege Kwanza sema na moyo wako Usilingie uzuri wako Kuna kupandaga mami na kushuka Tupendane forever mpaka kufa Usiku nikipita twitter Mami nakukuta twitter Nikisema nikucheki insta Nakuta ushapost picha Pesa zisikupe uchizi Kibuli na kutudhalau Wale tulokupa shavu sasa unatudhalau Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Emmy Wimbo ,Chege and Temba I wanna feel love Tulia tulia mami upate raha Oooh oooh Baki kwangu mami upate raha (babe girl) Tuliza malingo kidogo (babe girl) Tuliza na nyodo kidogo (babe girl) Wacha kubinua kichuguu (babe girl) Hata uende wapi kwako nimeshanasa Chorus Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Go down hata mara moja go down Go down hata mara moja jiweke down Babe Girl mami tulia tulia tulia Babe girl mami tulia tulia tulia