Tash - Punch Vocal lyrics

Published

0 93 0

Tash - Punch Vocal lyrics

VERSE 1 : Viva Conscious Kaeni tayari Huu ni ujio wa masiha Pata somo heshimu wazo ili hali una nia Mi mi Jicho la Mtaa Nijeshimu Upone Kaza ukaze sio kamikaze mpaka mwisho wa Tone Nasukuma Imara Feki zinamomonyoka Nyoka shuti kunja sura or pindi ukimoka Snitch akishoboka nampa ficho kwenye locka We ni swala mi ni simba naekimbia bila kuchoka Tata utata nenda slow niende fasta Mi ni hazina ya mistari ongeza salio hapa Nishatuna ninavuma bila Rumors Natafuna Kila zao imara lililovunwa Na skio Bovu lina zoom hadi maovu Kuntu Chafu zinawavuta mithili ya Gari Bovu Hii ina laana ,Push ikupe lawama Nang'aza visivyong'aa Dream Fake za Alabama CHORUS x 2 Wowow owowo wowowoo woyooooo Wowow owoowo wwowowo woyoooo Get Ready aaah Get Ready for the Show Get Ready aaah Get Ready for the Show VERSE 2 : Viva Conscious Midondoko Moinoko inasusa mpaka Voko Soko ni Moko Rap imejaa migoko Sugua Bench piga zoezi moaka mechi Pata imani pale kipofu anapokupa checnhi Nesa Kavu Nesa Above kama Reggae Hutonisusa mi ni zao we kinywaji kama mbege Usimwite Demu mlupo huyo ni mke mwema Hata mkwe husema acha a sepetu kwa wema Hili ni Duru Namulika hadi Dubai Muhtasari wa kifo let me teach you how to die Hii Ni 4d kwenye real sh** track Mtz mweusi Tii kama brother Big Mack I gat 16 bars 16 codes Viva with the best ryhmes they make me so Double thinker I gat the beat with verse Around black nver relax will be the murdre case Cerka ya cerason money i want buskar La cale" mi gustas el vender chingar No gambero no cadacosa del mundo mirarr La cudad no bien Mirar Putas no tucar el riar Chorus X 2 CHORUS x 2 Wowow owowo wowowoo woyooooo Wowow owoowo wwowowo woyoooo Get Ready aaah Get Ready for the Show Get Ready aaah Get Ready for the Show VERSE 3 : Tash Vule Vuvu zhe afe mwaaa Viva Tash Msoto ndio tuna wapa Msosi mpaka Kideri Punch Inakabwa Chuga bway Rude Bway soma muswada Haina lolo comedy ipo onyango Muswada kede kede hio mipunga haina mpango Iko straight from the Ghetto Kwa snitch hii ni kero Sidai tukulu sidai sema Yerooo One two thats true murder dem full Naikonga hio mioyo kama navyokonga na stay True Hapo kati nyonga tukuite aisha madinda Zingua upigwe danga huku chimbo wana wamepinda They way i go feel the way i flow Hii ni nundu hadharani utakuta we bishoo They way i go feel the way i flow Hii ni nundu hadharani utakuta we bishoo OUTRO Wwwwwat mesen , Viva conscious ,Its yo Boy Tash Tash Bablenye up in this Tz , De fatality You better ............shout up your ...............You heard