T-Max - First Love Remix lyrics

Published

0 484 0

T-Max - First Love Remix lyrics

Menya Media once again, eh yoo Big Ba**, twende This the Remix [Hook] (R Flo) Sitaki kuona umeondoka, nitazidi kukupenda wewe daima milele (Channy Queen) Sipendi kubadilika, elewa nafsi yangu tu imekuchaguwa wewe (R Flo) Baby My first love My first love Baby my first love (Channy Queen) You are My first love My first love Baby my first love [Verset 1] (Sugu Jay) Mi na we forever Wazamani wote it over Usipate uwoga mi ni kama nimerogwa Mapenzi matamu zaidi ya adamu na eva Bustani hii sintokula tunda lilokatazwa never We ni mzuri zaidi ya wote Mrembo kuliko wote mwenye sifa zote Kama olympic basi wakupe tunzo zote Oh ceupe nyoosha kidole nikvishe pete Wanataka nikuache nikutupe wapate wapite Wakuite kicheche mapepe No no no no we ni wangu wa siku zote Baby baby tutakwenda popote We ni mzuri mwenye penzi la kweli Siyo kama wale wapanga dume katafiri Wapangiwa masaa wapishane kama gari We unanijali njo tuchangiye safari Tusitupane kati ya bahari [Hook] [Verset 2] (T Max) Mamama mama T (x2) Tumepanda milima na bonde usikonde Nikikosa basi nakuomba chonde chonde Mi, ni binadamu natena sijakamilika Sio kila kosa ulinionalo, unakunjanika Farijika, uko nami simba wa nyika Kwako nimetiya kambi, kwa mwengine siendi Subutu naona dhambi Raha zinanitosha mpaka natokwa kitambi Unanipenda nakupenda ilo linajulikana Cause, isifike siku mama ukaja ukahana Aya maneno nayo sema mama ndio yananipa burudani Unanipa ujasiri kwa mwengine sitamani We ndio my first lady, my first love Sikiliza Remix, ya wajanja sio wachovu, ah [Hook] [Verset 2] (Sugu Jay) Kwanza, unajuwa malezi , unajuwa mapenzi We mtoto, uliwahi fanyiwa kitchen party Nani somu wako nimupe zawadi We ni mzuri wa sura na tabiya Anaye kuifazi ana mali ya kujivuniya Mi nina bahati nimempata mpenzi ambaye siyo msaliti Mamy you are the first mwengine simtaki Ah I love so much Naona wivu ata kaka yako akikutouch Kama hindi natamani nikuimbiye ata nachi Kaona pyara hei, kuchikuchi nei Mwenye kulinda mpenzi kama mari mar Baby baby unajuwa mapenzi Baby baby uajuwa malezi Baby baby we sio chizi Apo ndo tayari nimeshafika Ata waseme mi sintokuacha Nina asali vipi nilambe shubiri Nitakuweya shuka mu baridi Ndoto nzuri zitazo kufariji Mamy, honey, sweet, mpenzi, chérie Sijui nikuite nani, girl [Hook] (x2) Bonge la collabo Sugu Jay Tishio, R Flo, Channy Queen, Max Big Ba** once again GLM, Master USA U know what people do First baby, first queen Remix