Stan - Nifuate lyrics

Published

0 218 0

Stan - Nifuate lyrics

[intro] Oooouuh Yeyeeeh Oooouuuuuuu uu Baby nifuate Chorus: Nifuate baby Nifuate Nifuate oooooouuuuuu Verse 1 Nakupenda hadi siwezi kueleza Nataka kukuonyesha Na utamu wa pendo lako Yanimaliza Mtu mzima kama mimi naomba [Wawesh Mjanja] Ah kama ardhi navyotamani Maji Jangwani Roho yaniuma (ooooh uuu) Tamaa inaniua Chorus: Nifuate Mahali hatujulikani Nifuate Mahali kule mbali Nifuate Mahali hatupatikani Nifuate Nifuate nikufuate Verse 2 Naaatafuta penzi lako busu lako lanitia wazimu Naaaatamani uwe wangu Twende kwangu Juu hapa kumejaa na watu [Wawesh Mjanja] Ah kama ardhi navyotamani Maji Jangwani Roho yaniuma (ooooh uuu) Tamaa inaniua Chorus: Nifuate Mahali hatujulikani Nifuate Mahali kule mbali Nifuate mahali hatupatikani Nifuate Nifuate Nikufuate