Sporah - Kosa Langu lyrics

Featuring ,

Published

0 837 0

Sporah - Kosa Langu lyrics

Barua yako ulioituma kwa recab docomo nimeisoma ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenichoma niliyoyategemea tofauti na nlicho kiona hata naandikia hii barua huku royo yangu inansonona umesema nchane nguo,hiyo funguo umeirudisha sawa, simu niziekee kituo,na sio chaguo,nikome kabisa sawa umesema hata ile picha nzuri nlokukumbatia nifute sawa ila kinacho niumiza mbona moja umeseahau kosa langu kosa langu hujanambia donda moyo ndani yangu, naumia kosa langu kosa langu hujanambia donda moyo ndani yangu, naumiaaaaa umekuwa kama ndoto,faraja moto ila hujaliona naponda mpaka kokoto, napata msoto,inaniuma ona yule,na pesa ulimpatia, kiwanja ukamnunulia,na gari ya kutembelea,akakumbia yule,na pesa ulimpatia, kiwanja ukanunulia,na gari ya kutembelea,akakumbia Mbona ukanichimbia kaburi ningali bado mzima nife nizikwe vizuri nipotee kabisaa kimyaa licha matendo mazuri upendo na heshima watu wakachochea tanuri ukachoma wangu mtima natamani hata ngepata nafasi muda wakati kukutazama unione hata japo sura unitazame macho yangu mwenzako himili limenipiga kasi uliyonitendea yananiumiza nafsi ulinichoma mwiba wa koo kukuruduia naona sooooooo mwenzako hili limenipiga kasi uliyonitendea yananiumiza nafsi ulinichoma mwiba wa koo kukuruduia naona sooooooo umesema nchane nguo,hiyo funguo umeirudisha sawa, simu niziekee kituo,na sio chaguo,nikome kabisa sawa umesema hata ile picha nzuri nlokukumbatia nifute sawa ila kinacho niumiza mbona moja umeseahau kosa langu kosa langu hujanambia donda moyo ndani yangu, naumia kosa langu kosa langu hujanambia donda moyo ndani yangu, naumiaaaaa *** Thanks K'Amolloh Walter for the lyrics