Sho Madjozi - Huku lyrics

Published

0 488 0

Sho Madjozi - Huku lyrics

[Intro] Iyo,iyo iyo Iyo,iyo iyo Sho, Madjozi [Verse 1] Kwani unataka Madjozi ade ama nini Niahiambe aliki Mbona mwataka nasema napenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi Kini hanisikii [Pre-Chorus] Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda [Chorus] Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku [Verse 2] Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika Usiku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia? Aje akipa kini hukunalika Wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha Ni lakuni hambiaa [Pre-Chorus] Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda [Chorus] Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku [Outro] Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho!