Sheddy - Salama Rohoni lyrics

Published

0 2699 0

Sheddy - Salama Rohoni lyrics

[verse 1] Nionapo amani kama shwari Ama nionapo shida Kwa mambo yote umenijulisha Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 2] Ingawa shetani atanitesa Nitajipa moyo kwani Kristo ameuona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 3] Dhambi zangu zote wala si nusu Zimewekwa msalabani Wala sichukui laana yake Ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu [verse 4] Eh Bwana himiza siku ya kuja Parapanda itakapolia Utakaposhuka sitaogopa Maana ni salama rohoni mwangu [chorus] Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu