Sauti Sol - Blue Uniform lyrics

Published

0 724 0

Sauti Sol - Blue Uniform lyrics

sina makosa afande uniwie radhi nimetoka kuimba na kitambulisho mi sina nimepoteza wallet na sijachukua nyingine na sijakataa kosa nililofanya ah sijakataa kitambulisho sina sijakataa chini nimeshaketi usiniseti afande usiniseti afande (chorus) hey you in the blue uniform If I have wronged you I will reform raia an*lia hey you, hey you. natambua kwamba huna kosa, ulilofanya eh kitambulisho hicho hauna nikufanyeje mapato yangu ni madogo, nategemea kidogo ni kazi yangu ujira wangu hujakataa kosa ulilofanya hujakataa chini umeshaketi hujakataa kitambulisho huna nitakuseti raia, fuata sheria (chorus) Aaaah umezoea kuchelewa siku mingi nimekulenga naona watuzoea mmmmh kuanzia leo mi nakuonya, ujichunge ama nitakuweka ndani weeeee hujakataa kosa ulilofanya, nakuonya heee mwananchi wewe, nitakuacha leo uende nyumbani, onyo kwako wee raia wee.