Salmin Swaggz - Zaidi Ya Rap lyrics

Published

0 330 0

Salmin Swaggz - Zaidi Ya Rap lyrics

[Verse 1: Salmin Swaggz] Miaka sita kwenye game and I still survive Kuna other rappers kwenye game wanatest the drive And I got that circle on my name and we stay alive Them other rappers wanadream about getting this love Maisha ni hustle when you don't know nothing I'm just good at something These rappers only notice money, beat-boxing and rapping Wanapima utajiri counting these bottles we poppin' Na story zimejiri down with them photos we're flashin' Wagonjwa wanakufa hospitali, nobody notice Watu wana pombe kali they be like you know we know this Mapenzi yalianza tangu kale, now we don't choose it Watu wanaombaomba pale and these rappers say move it I'm trynna reminisce how I live the life that I'm in I'm on my 20s they around like you know what I mean Wachache wenye akili asking where the hell I was been I never wanted no Kili, I let it be like... [Hook] What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia (Wanga walinifumba macho but I'm still right here) What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia (Nahisi mnachotaka nnacho na ndo mnachokiskia) And be like...and be like And be like...and be like [Verse 2 : Hood C] Lawama si salama, huleta uhasama Karama za akina mama ni undama usipende sana Hama, ili ucross kuitwa "Big Boss" Ukinitazama kwa njama, West na East coast Penda panda pea, tazama unakoelekea Dandia star icon, Hip-Hop ni fair Tengeneza yako weapon, homie don't be scared Share, kuziepuka dhambi jongea aah Jarida maridhawa upendo wa Jah power Natoka ZT, sio Dakawa Hood bongo boy, jarida ni AFRICAN Real mfano wa JCB the Black Taliban Nakufundisha nikasomwe poa Kaa kona itakayoridhisha ukatoboa fresh Dunk lyrical call your God Yatende yalo mazuri kuwa close na lord, and be like [Hook] What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia (Wanga walinifumba macho but I'm still right here) What I rap zaidi ya mechi Simba-Ismailia (Nahisi mnachotaka nnacho na ndo mnachokiskia) And be like...and be like And be like...and be like [Verse 3] [Hood C] Get up son hii saa ni ya kutubu Adhabu ni hot mzima kiziwi mpaka bubu [Salmin Swaggz] Talk to your lord bado unahema wanakuhusudu So fanya mema ka iliandikwa utaepuka sulubu [Hood C] Majedwali tatua kipindi unapokua Habari yako tambua, kiundani ask be sure [Salmin Swaggz] Tambua utata kabla hawajatatua But I know together tutasmama mjinga asiweze kutuua Then be like...