Salmin Swaggz - Dope (Freestyle) lyrics

Published

0 317 0

Salmin Swaggz - Dope (Freestyle) lyrics

We are... Yeah I said that we are Hii ni GoodNation, k** wanaobisha Na nimemechisha, all black everything Black car, black her, all black everything n***a you can't tell a thing, unahitaji Malafin Nahisi una malaria thing, I'm general Aladin Hili game nimelipuna now limelala chini Siko shame nimelichuna li kwenye lala bin Wamekurubuni mpaka shule umeshafeli Sio kejeli let me tell uliona heri Kuona watu wanavyokuita Makaveli Hey Marry tell Terry you no longer Hail Mary You're 15 now I'm sorry for you cherry Naona wako wengi sana Watu wanakuja na mangoma mengi sana Rhymes zinavuja wamechuja Mexicana Na mi ndo nakuja maana nlishasema since jana I'm dope