Salmin Swaggz - Nisamehe lyrics

Published

0 356 0

Salmin Swaggz - Nisamehe lyrics

[Chorus: ] Uliponifuata ulitaka nielewe Maisha ya ubachelor noma, so nijipange Nijipange nije kwako kuishi na wewe Mapenzi yananichanganya vile mishe zako zinafanya unanipuuzia Nashindwa kuvumilia, nachoka kuishi na wewe [Verse 1: Salmin Swaggz] Hey Hey Hey hol' up baby Hua nabanwa mpaka nashindwa kucall up maybe We unasema nimekua mgumu utagwida sumu Kwa maana una-fume siku utapasuka maybe Maneno yangu machafu yananuka Haimaanishi kuna time sijakukumbuka Haimaanishi upendo wangu umeshaanza kushuka Utafute wapatanishi...aaah unakurupuka, but Nakupenda kuliko kitu chochote duniani Na sio utani kwa mnyamwezi ndo maana nikakueweka ndani Singoji ugeuka kama FA una-shine ka nyota angani Just believe what I say in my heart you the only one Taji la Miss Mimi unapaswa uwe nalo wewe Naelewa fika jinsi ulivyo, kuwa hutaki uchezewe Mi ntakupa unachotaka mpaka usivyotaka upewe Usinimwage utaniumiza kwa mawazo nielemewe Please maa.. [Chorus: ] Uliponifuata ulitaka nielewe Maisha ya ubachelor noma, so nijipange Nijipange nije kwako kuishi na wewe Mapenzi yananichanganya vile mishe zako zinafanya unanipuuzia Nashindwa kuvumilia, nachoka kuishi na wewe [Verse 2: Salmin Swaggz] Hatuhitaji bed in making peace I was always there wouldn't even care we came to this Daily unalalama, I should've watched on how I treat you Down to Everything and ever just to keep it stick it witchu Unajua, jinsi gani nakuhitaji maishani Thinkin' bout the kids wanahitaji mama nyumbani Na idadi kubwa ya marafiki hainifanyi kua funny Mashoga zako ndo wana fiki ama nini unadhani Wanakupa maneno, yanafanya unang'ata meno Bila kujali kwamba najipanga, say "No" Mchizi bado najipanga so usiamini neno Haya maisha sio mashindano, ukiskia michano Nakuimbia wewe tu wengine naona kama mifano Chukulia poa, nikikuboa nikijifanya don't care Siwezi zoa tu nikaoa sioni ka itakua fair Sitaki tuingie madoa so nakunyenyekea Mwingine awezi maana we pekee ndo unaniwezea