Salmin Swaggz - I Miss You lyrics

Published

0 339 0

Salmin Swaggz - I Miss You lyrics

[Verse: Babron] Nimejifunza kusahau Kweli penzi lako limenikaa kichwani au Nimekuzoea kupitiliza sijui Penzi lako ni la miujiza, ooh baby! Dunia hii, kuna mapenzi Ushanitoa machozi, umeshindwa kuyaenzi Dunia hii baby, kuna mapenzi Ushanitoa machozi, umeshindwa kuyaenzi [Chorus] Kweli mi sikujua Mapenzi yanaumiza wengi hii dunia Leo kweli mi nimejua, baby I miss you Kweli mi sikujua Mapenzi yanaumiza wengi hii dunia Leo mi nimejua, baby I miss you [Verse: Babron] Penzi la dhati nikalilinda juu yako Kuishi maisha ya furaha siku zote sikuwahi kukuliza machozi Everyday in my dreams, naamini we ndo yangu furaha Everyday in my dreams, kukupenda sintokata tamaa [Salmin Swaggz] Hukutaka mapenzi ya ki-star Sio kwa sura maana uzuri wa mwanamke ni staha Hizi SMS huaga zinakupa kichaa Vicheche wamechase ukaja ukanitupa kachaa Nashka picha zako ukitabasamu kwa chini Najiona chizi, wananiona timamu lakini Ni kama jana tu, na mi nna karatasi na pen Na ntakumiss ‘till the day that I see you again, so you know [Chorus] Kweli mi sikujua Mapenzi yanaumiza wengi hii dunia Leo kweli mi nimejua, baby I miss you Kweli mi sikujua Mapenzi yanaumiza wengi hii dunia Leo mi nimejua, baby I miss you [Repeat Chorus] I miss you, I miss you I want you, I want you