Salmin Swaggz - Hookah (Remix) lyrics

Published

0 377 0

Salmin Swaggz - Hookah (Remix) lyrics

[Hook x 4: Young Thug] Baby pa** me the hookah Pa** me the hookah Pa** the hookah Pa** the hookah [Verse 1: Salmin Swaggz] Watch, i'm coming with an ex-banger Got a flow mpaka soo then na extend-ah Nnavyowashika kwenye show kama suspender See mahaters wanablow wanaanza nipenda Nyota simba sio unipange kwenye fear cla** Kama unaimba njoo jichange uje na beer gla** Vimba kichwa kuona wameshakusifia bas Ukija unafichwa kwenye mdundo unaokimbia kasi Kamwe usisahau aliyekupoteza, aliyekuokota wakati wengine wamekutelekeza Siogopi wakisema nagota game ninavyo icheza MCs nawachota kama Mayweather I start winning, i'm still spinnin' Living fast die young and I'm still speeding I'm living on the charts where you don't fit in I think I'm living on my past? Stop dreaming [Hook x 7: Young Thug] [Verse 2: Salmin Swaggz] Kifo changu kitamake headline zaidi ya Osama Kwa wanaodhani niko hot hii ni cold summer Wanahofia niko booth watanyuti ama? Na ukidiss wala hatukutafuti kama I don't wanna speak nasty Your best rapper ananiheshimu kama fasting Niko hapa kuwakilisha but i'm asking Mbona maproducer hamzifanyi ka za Last King Watoto wa siku hizi naona hawana future Bando bure hua wanachati mpaka kunakucha Bangi wanavuta mpaka wanamshangaza pusha Na madada ndo kabisa wanang'ata kucha We usivute but you should buy me a hooker Na unikumbuke hata kwa hizi rhyme nnazoshuka It's not a remix baby, but really you should know that you should pa** me the hookah [Hook x 7: Young Thug]