Safari sound band - Jambo bwana lyrics

Published

0 896 0

Safari sound band - Jambo bwana lyrics

Jambo, Jambo bwana Habari gani Mzuri sana Wageni, Wakaribishwa Kenya yetu Hakuna Matata Kenya nchi nzuri Hakuna Matata Nchi ya maajabu Hakuna Matata Nchi yenye amani Hakuna Matata Hakuna Matata Hakuna Matata Watu wote Hakuna Matata Wakaribishwa Hakuna Matata Hakuna Matata Hakuna Matata. (till end)