Rayvanny - Unaibiwa lyrics

Published

0 243 0

Rayvanny - Unaibiwa lyrics

Usidate na njonjo za mapenzi Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend Maufundi toka tanga na zenji Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji Anakuchanganya kiunoni shanga Marashi kama uko peponi Mtoto sauti kinanda Ya kumtoa chatu pangoni Ukishatafuna Karanga Hutaki hata aende sokoni Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi Baby me I like that Na kukupamba kwenye simu video snapchat Kumbe hana maana hadi Mangi Anamwita sweetheart Kisa anakesha gym kutafuta six pack Unaibiwa unaibiwa Unaibiwa unaibiwa Kuna kina Rose Visosa Wale wapenda verossa Ukipita na shati na moka Lazima watashoboka Wakiomba lift ogopa Miguu dashboard vishoka Mchunguze cheni goroka Nywele na pochi kakopa eh Usije kuyavamia yasije yakakutesa Hawachelewagi kukimbia Kuna wenzako wan*lia walizani mapenzi pesa Kwenye suruali vibamia Hata ukimuonga Ferrari hatokuona rijali Wakati chumbani we begi ukifunga moja tu chali Atakamatwa ma mangangali Vijana machachali Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali Ukiwa ma pesa utasifiwa kitambi Baby me I like that Na kukupamba kwenye simu Video snapchat Kumbe hana maana hadi Mangi Anamwita sweartheart Kisa anakesha gym kutafuta six pack Unaibiwa unaibiwa Unaibiwa unaibiwa Unadhani ni wa peke yako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili sample Akila mihogo karoti hazipandi Unaibiwa unaibiwa Unaibiwa inaibiwa