Rayvanny - Kelebe lyrics

Published

0 284 0

Rayvanny - Kelebe lyrics

Haya makelebe, haya makele Haya makelebe, haya makele Haya makelebe, haya makele Haya makelebe, haya makele [Innoss' B] Dance for me will you make me spend my money I watch you like a movie we demu ni balaa Very very talented we dem ni balaaa Balaaa! Dar es Salaam ayo (Ayoo ayoo) Manna Congo ayo (Ayoo ayoo) Yokobina ayo (Ayoo ayoo) Ale moto mama kelebe, aya makelebe Pace iko makelebe, aya makelebe Jikune ma kelebe, aya makelebe Ananipa kelebe, aya makelebe Oya kakatika kelebe, aya makelebe Si jina kelebe, aya makelebe Ati nyonga nyonge kelebe, aya makelebe Kanipa kelebe, aya makelebe Nakashika nakakamata Mpaka chini chini kanakikata Akiwika nakapakata Hadi chini chini nakakamata Dar es Salaam ayo (Ayoo ayoo) Bana Congo ayo (Ayoo ayoo) Nacheza kibosi bosi Usinishike we utanichafua Basi toa leso Jifute jasho hata kama kuna jua Jifute jifute, jifute jifute Jifute jifute Ukichoka kushoto jifute kulia oo Jifute jifute, jifute jifute Jifute jifute Faya warudishe shule A, E, I, O, U A, E, I, I, O, U Leta Mambo Doni Fumbwe nasalimia mkubwa Fela (Kamix Lizer)