Rayvanny - Juju lyrics

Published

0 144 0

Rayvanny - Juju lyrics

(Its S2kizzy beiby) Hasta Lavie! Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Akiniangalia (Juju) Namlipia bia (Juju) Akinikatikia (Juju) Pesa namrushia (Juju) Kaniroga kiwepesi (Juju) Hapa naiwaza gesti (Juju) Mimi nakunywa Baharini (Juju) Yeye nampa Hennesy (Juju) Akicheat muache acheat Maana kwangu fiti nasema simwachi Wafanye kwenye viti Ama kwenye miti mi sitingishiki Nasema simwachi! Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) [Zlatan] Kanipiga kipapai (Juju) Sema nimekufa kibodo Kanipiga kipapai (Juju) Akija ghetto nampa joto Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Mango kipanda ndege ruka juu(Juju) Nitatembea kwa miguu (Juju) Panda Range brand new (Juju) Mi nitapanda kirikuu(Juju) Ata nikikufuma ghetto na msela Kununa sipendi Umenipiga juju kibendera Zoba la mapenzi Eti nimemwona na pimbi (Enhe) Anadanga kidimbwi (Enhe) Anakuchuna shilingi Niacheee (Zoba la mapenzi) Element maisha kamwaga radhi (Enhe) Tipsi ana mabwana shazi (Enhe) Fourty fourty room nala chansi Niacheee (Zoba la mapenzi) Akicheat muache acheat Maana kwangu fiti nasema simwachi Wafanye kwenye viti Ama kwenye miti mi sitingishiki Nasema simwachi! Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Eeh kipapai (Juju) Kanipiga kipapai (Juju) Aaah! kipapai (Juju)