Ray C - MotoMoto lyrics

Published

0 4165 0

Ray C - MotoMoto lyrics

Verse 1 (Ray C) nilishasema sitokuja penda tena na nikasema sitoumizwa tena nikaja kutana na kijana wa Nairobi anipenda nashindwa kukataa mapenzi moto moto anilea ka mtoto penzi lake lanimaliza nampenda sijiwezi Chorus (Ray C) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto (French Boy) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto Verse 2 (French Boy) nimependa huyu dame kwangu ye ni malaika urembo wake wajiuza my cherie nimedata oh no nimechizi mpaka sijiwezi na siwezi ishi bila ye ndiye mahabubu yeye hunitibu ye ndio tabibu kwaya nayo ni sibu penzi lake lanimaliza nampenda sijielewi Chorus (French Boy) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto (Ray C) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto Verse 3 ni hot inachoma her love for me makes me sing ooh ni hot inachoma her love for me... Chorus (Ray C) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto (French Boy) moto moto penzi lake moto moto moto moto penzi moto moto