One The Incredible - 40 Bars lyrics

Published

0 381 0

One The Incredible - 40 Bars lyrics

ONLY ONE VERSE WITH NO CHORUS Verse Habari noko/Nina habari moko Huwezi timiza kazi kama askar choko Juu ya daftar ninatafakar msoto Kwa mistar mitamu kawa cariban coco Mi ni cla**ic na move kama dancE Nawapa hisia kali zaid ya muvi za mikasi Kwenye chart zao wao ushndani mm nafasi Sifanani nao mimi ni zao wao ni nyasi Mwanaharakatikama kikosi na siasi Mistari ina siri nzito kama boksi la risasi Sipo copy npo confident conscious reaction Kwenye boof niko lost kama part ya duratics /Geneous nilifeli kupa** Mathematics Kama rap ni d** mi na Habit kama addicts Sipiti kama rabbit kwenye 8 mile Love or hate it hard iki bet hii air tym cla**ic Verse balanced ka account ya fisadi Kwako mlevi wa u star ka round za vinywaji Dunda kavu au bounce na vinywaji Skia biashara kwenye speaker leta sound ya miradi Naujumbe mtam kama sound ya kingasti Snitch hastaround niko down na illematics Na spiti kwenye mic ka risas nipo kasi So huwez pa** around ka upo stack kwenye trafficks Aah sibutui nashoot kasi Tu hujui siku zote vipi unisumbue kilaza Mdundo mweusi nausugua ka na msasa Mpaka duke ateme slang kama movie ya kihustler Hii kwa wote wanaoikubali sio flani na flan waipende Mi ndo moko makutano ya mistar kama stend ya mwenge Yafanya wengi waende mbali waache wachache wakae kizembe Kaa mbali nasi au kaa sawa nikulenge Sa kaa sawa snitch mi ni dawa ka Giv Hawa wanadis lakini hawapo sawa kama sisi Na kama mkavu hapa utanawa utakuwa mbichi Money ni power respect 2naipata ukijua displine Kama kiongoz wa dini nampenda mjinga na mtoaji Mtaani wanga hunihofia kama bingwa wa uponyaji Linda chako mjinga watu wanawinda hawako safi Ukizingua unagongwa tako kama mznga wa konyagi Nampenda haswa anahisi anapenda heshma Daktar rudia darasa mimi ni ugonjwa usio na jina Anashangaa dinner mara hawa mara huyu we ni buyu mi ni moko sawa sawa