One The Incredible - 40 Barz lyrics

Published

0 918 0

One The Incredible - 40 Barz lyrics

Habari mnoko/ Nina habari moko/ Huwezi timiza kazi kama askari choko/ Juu ya daftari ninatafakari msoto/ Kwa mistar mitamu kawa cadburry coco/ Hii ni cla**ic, move kama dance/ Nawapa hisia kali zaid ya muvie za mikasi/ Kwenye chart zao wao washindani mi nafasi/ Sifanani nao mimi ni zao wao ni nyasi/ Mwanaharakati ka` kikosi na siasi/ Mistari ina siri nzito kama boksi la risasi/ Siko co*ky nipo confident consciously active/ Kwenye booth niko lost kama park ya jura**ic/ Geneous niliefeli ku-pa** Mathematics/ Kama rap ni drug mi nna Habit kama addict/ Spit kama rabbit kwenye 8 mile Love or hate it hardly debated hii ni anytime cla**ic/ Verse balanced ka account ya fisadi/ Kwako mlevi wa u-star kama round za vinywaji/ Dunda kavu au bounce na kinywaji/ Skia biashara kwenye speaker naita sound za miradi/ Nna ujumbe mtam kama sound ya kingasti/ Snitch ask around niko down na illmatics/ Na-spit kwenye mic ka risas nipo kasi So huwez pa** around ka upo stuck kwenye traffic/ Aah... sibutui nashoot haswa/ Tui hujui siku zote vipi unisumbue kilaza/ Mdundo mweusi nausugua kama nna msasa Mpaka duke ateme slang kama movie ya kihustler/ Hii kwa wote wanaoikubali sio flani na flan waipende/ Mi ndo moko makutano ya mistar kama stand ya mwenge/ Yafanya wengi waende mbali waache wachache wakae kizembe/ Kaa mbali nasi au kaa sawa nikulenge/ Sa kaa sawa snitch mi ni dawa ka G.V/ Hawa wanahisi ila hawapo sawa kama sisi/ Na kama mkavu hapa utanawa utakuwa mbichi/ Money ni power respect unaipata ukiijua na displine/ Kama kiongoz wa dini nampenda mjinga na mtoaji/ Kitaani wanga hunihofia kama bingwa wa uponyaji/ Linda chako mjinga watu wanawinda hawako safi/ Ukizingua unagongwa tako kama mznga wa konyagi/ Nampenda haswa anahisi anaijua heshma/ Daktar rudia darasa mimi ni ugonjwa usio na jina/ Anashangaa dina mara hawa mara huyu we ni buyu mi ni moko sawa sawa...