OMG Tanzania - Wewe lyrics

Published

0 119 0

OMG Tanzania - Wewe lyrics

[Verse 1] – Young Lunya Baby una bonge la shape, sura pia Bonge la upaja na guu la bia Mtaani, mtaani wanakunyatia Eti nnapokula mi wanataka kula pia, mmh! Sema mwingine I don't see Haters wanabaki like OMG (OMG) Wanafki nao oh hooh Hawawashi.. pilipili hoho Baby la kichaga, shimboni Baby we ni maji, shingoni Baby we ni mwisho, ukingoni Baby una utundu wa kingoni Na pozi za kisister du Chini nikila AirMax we ni viatu vya juu Tumetoka mbali hawajui Tumetoka mbali, M-Rap, Hawajui [Chorus] – Young Lunya Oh baby it's you, unanifanya nifurahi Kila saa natabasamu Oh baby it's true, unaponiangalia Unaniteka tena sana So nkaona bora nibaki na wewe (Bora nibaki na wewe) – x 3 [Verse] – Salmin Swaggz & Young Lunya Mara ya kwanza namuona alikua anatoka cla** Ili ajue sinywi pombe nikaficha gla** Daftari likanihusu.. maana ana cla** So, akaniruhusu mi nikampa trust No negativity tukaenda dhibiti Maneno ya marafiki tukayafunga kama vizingiti Told her about the games that I don't play, (Don't play) Kabla sijasema she know what I'm gon' say, (Gon' say) You know my family, you know my whole spirit Nishatembea na madem wana hoe spirit, (Hoe spirit baby) Nawapa wanachezea but they don't steal it It's coming from my heart so I know you feel it [Hook] – Young Lunya We... na wewe Utakapoishi we Nataka niishi na wewe [Chorus] – Young Lunya Oh baby it's you, unanifanya nifurahi Kila saa natabasamu Oh baby it's true, unaponiangalia Unaniteka tena sana So nkaona bora nibaki na wewe (Bora nibaki na wewe) – x 3 [Bridge] – Conboi Tumetoka mbali, tunakwenda mbali nataka ufike na mimi girl Twende nyumbani ukawaone wazazi, yeah Nampenda mpenda she knows that (She know dat) Sintomtenda she knows that (She know dat) Nampenda mpenda she knows... Sintomtenda, mi nampenda [Verse] – Country Boy Ipite siku sijakuona moyo utanidunda Kwa uzuri ulio nao sijui kama utachunda Mungu akupe nini, we zaidi ya dini Mi mshamba wa mapenzi ukicheche za watoto wa mjini, haah Nataka siku uniite husby, haah Tuzae watoto waniite daddy Sitoi boko mechi zote mi ni shuti ndani Unanidatisha unaposema “I'm coming...” [Outro] – Young Lunya Bora nibaki na wewe x4 Mama we, bora nibaki na wewe Wengine wananichanganya changanya nkaona bora wewe