Okello Max - Nakufa lyrics

Published

0 369 0

Okello Max - Nakufa lyrics

{Verse 1} Sheri kimula mimi nakufa Ani nya jomoko mami itoyo fuondena Ahero sana pilirundo ga wiya Nyathi jomoko adieri ilalo ga pacha To dong adengo ti kaayudo konyruok na Ani weauru monda asunge jabatha Opong’ to muol atoti unanimalisa Niisi na wewe milele mpaka kufa Unisalie watoto mama Nakuahidi hutokosa Ayie idho gode monda aketie kuon e mesa Aseko yie in koro ateri moso anyuola Mamanaaaaa (Musiki santimaaaa musiki bila jasho) {Chorus} Sheri, mama, baby Nakufa nakufa nakufa Nakufa nakufa nakufa Sheri, mama, baby Nakufa nakufa nakufa Nakufa nakufa nakufa {Verse 2} Mama sheri Usiniache nitakufa eeh (uuuutaniua) Kila unaponipigia simu lazima nitakuja eeh Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama(Ukisema nikuje jioni nitanunua chupa mama) Lolo tupendane mpaka kufa eeh {Verse 3} Oooh Sheri mapenzi ya leo naogopa Kwanza warembo wa ngolopa Wameweka mitego kwenye mabar(oh lord) Ila ukinitegе sitakataa Nitakopa ee, nitalima ee mama Nitachanga nitaiba Oh oh oh oh tupendane mpaka kufa eeh Muziki ya pesa, muziki bila prеsha {Chorus} Sheri, mama, baby Nakufa nakufa nakufa Nakufa nakufa nakufa Sheri, mama, baby Nakufa nakufa nakufa Nakufa nakufa nakufa {Verse 4} Baby babe nishaachana na maformu za Ashura babe Hata Nafula namba yake nimefuta Naku assure (eeh) Usiku silali naona sura yako mrembo Daily natamani kwako ningekuwa visible Nateswa na rada kila nikikuona na huyo jamaa Kweli mama wanifaa waniua (Murder! Murder!) How do I live without you beiby? Nenye khube wanje Nipeleke Eregi kwa mama Nimweleze na baba Girl I need you in my life Naona wivu when I see you holding hands Kama mwezi usiku Baby you know you're the one {Chorus} Sheri (Baby you're the one) Mama (Without you I can die) Baby (Baby yeah) Nakufa nakufa nakufa (Baby yeah) Nakufa nakufa nakufa Sheri (Baby nakuhitaji yeah) Mama (Without you siwezi yeah) Baby (I will die yeah) Nakufa nakufa nakufa (Baby yeeeh yeeeh) Nakufa nakufa nakufa (Kufa nakufaa)