Nyashinski - Wanahepa lyrics

Published

0 844 0

Nyashinski - Wanahepa lyrics

[Intro: Collo] Nyash.. Shinski mazee It's your boy Collo I'm trying to holla at you, natry kukureach lakini uko voicemail... [Nyashinski] Alright, ni turn yangu Nyashinski hehe Mwanachama x3 (CCLIV) Kaune, yeah Yey yey! [Verse1: Nyashinski] Wanachama hatubangaizi Hata kwa kibanda tukisaga miti "Arga City" Bado akili ina storm tukipanga vipi Tutatake over hii industry ya wanamziki Uliza Ninho, U.B tuko maskani machizi Ugatuzi Ace, Lo, Craa, Kala, Ulidi Bamba kiti, weka msamba chini Nel ama Casper akupitishie kaa tharba mbili Kutema hivi sio swali inatakanga tizi Ni tamu na ni kali kama tangawizi Actually si ukiona Juma-arap-Tatu mwambie kabla hii Ijumaa al-hatuhami-sisi Maria Maria Maria Maria (ooh oh oh juu ya vumbi) Macho nyanya juu ya vumbi si mjani Usituenjoy, we na Maria hamjuani, ham ham juani ham whoo (hum hum hum hum hum hummm) Argh usinitry alhamdullilahi Salaam ni wasalaam aleykum warakhmatullahi Nachukua ploti Kipchumba/keep chumba argh Niko on point utadhania nafuata kidole cha gumba argh Nageuza rumba to shule ya gumbaru Legacy yangu size ya trailer f** sub(aruu) Tulidanganywa tuu-tapata kuhamia majuu Kwenda kwa emba**y application wakatuambia "Duu!" Cardigan na digaga gloves na balaclava Add abracadabra nageuza rapper cadaver Supper skuma na sili ma maini na pia Nataka msupa ana sura kaa ya Chidinma yea [Hook: Nyashinski] Cheki vile mbio wanatoka(kaune), kila time nikishika microfoni(uh uh) Waeza jionea jo si siri nawa murder Kila time nikishika microfoni Na ndio maana masela wanahepa Wanahepa wanaheee Na ndio maana masela wanahepa wanahepa wanaheee [Verse2: Nyashinski] Ero, Alo, Ha Nagoo so hard, sober, sitaki steam Syllabus inaniheshimu uliza Malkiatt Singh Ma-syllable zinanitii mi ndio marking/macking scheme Chini ya maji lakini I hope mafan haoswim Utakataa kununua hii mziki nawauzia tu juu Uliambiwa haikushiki na Chimwani Obiajulu Siku gani utaanza kujiamulia ni nini kali nini mbaya bila kutegemea opinion ya mtu? [Bridge: Nyashinski] Yesterday, standing by the river You heard the shepherd say, "It's good for you!" Did what the shepherd say make you a believer believer believer? Cause all the sheep now say They like it too So tell me are you one of them? [Verse3: Nyashinski] Chali flani alijipata ndani ya bar Kwa hiyo bar kulikuwa na manzi na huyo manzi alikuwa amekaa Karibu na counter mahali bar tender atamwitikia masaa Ndio aki-order hakuna kungoja plus hakuwa na jamaa Jamaa akamwona akaona niaje, "Wacha nikaongee na huyu dadaa Unaweza tell ako independent ukiangalia vile amevaa Na kaasigara na mascara pants na shati bila bra Wacha nitest nimwombe dansi atakubali atakataa?" Kabla aamke akaanza kujishuku Mashallah Zile za' "I'm sure amenijudge amecheki huku vile nimevaa Na plus namwona akiangalia ule footballer kutoka far Pia mi nashuku saa huyu demm amekuja raha, amekuja mraa?" Ah hidhuru akaamka akaanza kumwelekea mamaa Roho juu ka mwanaume step by step kaa mbaya mbaya Roho inagonga ni kaa ameitwa ofisi ya mmwalimu juu ya mbagaa Kufika akamsalimu je alikubali ama la? Kaune Si we ni judge umejudge huyo boy huyo boy alijudge huyo manzi huyo Manzi alijudge footballer... Only God can judge me [Hook]