Nyashinski - Now You Know lyrics

Published

0 889 0

Nyashinski - Now You Know lyrics

[Intro] Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. [Verse One] Huyo ni fala mgani anaweka ma mg'ari Kwa list juu ya Ferrari Ana Degree au journalist tu juu ana list (whoop) Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na Kanyari ye yee yeaah Na naskia inasemekena Ati rap zangu hukam na mkazo, na ile utamu ya reggea mama Ma ordinari wananikubali Na hata watiaji hawaezi kana Kuna wale hupenda sauti yangu Na iko wale husengenyana [Hook] Mama mama Kijana wako amepotea, ni maskio tu ye anatoboa Huku ndugu zake wakiendelea Mwenyezi pekee anaeza muokoa, ki maisha amelegea Ingawa hatuoni akitoboa, bado twazidi kumuombea amina Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. [Verse Two] Yeah.. sionangi haja ya ufisi Sina njaa najua mpishi Sijai fanya kazi ya ofisi Sijai lala kaa sijadishi Sijarap kitu kaa kUtoka 06 ivi Trust me, siezi rust mimi Ata niache mziki miaka hamsini Nkirudi bado nawacrush nyinyi Niko 1st mie, ndani ya party na nguo rasmi Iimepigwa pasi Hapo katikati napiga mic check Juu niko party na niko night shift… Nlikua busy sikua najificha Clearly you rappers missed your teacher Vitu mnaandika zinachoma picha nkiwish singewacha Kuwafundisha, sauti naskia ni… [Hook] Don't waste your time wishing you're too proud my baby Too proud to wish they had an easy way out Let times get tough so they remember you are a blessing When life is good they will forget to sayyy Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. Mh.. mhhhhh.. heeeyyyyy [Verse Three] Naulizwa mbona nliacha mziki Ati nlikua mkali juu ya mic na namisiwa na mashabiki Nliacha game mapema hata kabla reffa hajapiga firimbi Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi Samahani nimepotea, shukrani kwa wale wamenifikiria Hizo miaka zote nimekua missing, lakini iko kitu hamjaniambia Kaa ningebaki bado, ungekua na taki ya kuskia nikiwaimbia Ama by saiii mngenifanya vile mnafanya ma pioneer Story kwa media ati nimechapa, niko juu ya madawa, nahangaika Show ni ule jamaa aliimbaa ‘Ada Ada' ebu kam u curtain raisie mnaija It's not that serious, rap ni hobby Bila mziki bado namanga Ingekua career si ningekua nalia kuskia ati Naija Night Nairobi Ambia new comer asijifeel sana We ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda (tunakupenda) Uki-KAKA tutachoka na wewe ivo ndio ku uenda (ivo ndio ku enda) Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu Sikukaa siku mingi nkuachie nafasi ya kuchoka na mimi [Outro] So now you knowwwwwww Shinsky So now you knowwwwwww Beat ya keggah So now you knowwwwwww Heeeyyyyy Mhhhhhhhhh heeeyyyy Uuuuuuhhhhhhhhhhhh