Nyashinski - Mungu Pekee lyrics

Published

0 1381 0

Nyashinski - Mungu Pekee lyrics

[Intro] Sijui Ka ntaona kesho Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho Mwambieni uyo devo, simwogopi shetani, Sir God yuko nami hadi kifo Ka ntaona kesho, nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee Daima ni we, Imara wasiniangushe [cedo] [Verse One] Naona saa, kila siku nizawadi toka Maulana So haja gani ushike tama Mama Majaribu huisha ooh aae! Na hata ka Maadui zangu watashikana nao njama siogopi nasimama mum, Yakiama yao yaja eeh Hio ndio pace nasonga nayo Wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo Naishi ka sina Case mahakamani Au madeni za majirani Niko Fresh njee na ndani, oooh yaae! [Chorus] Naamwogopa Mungu Pekee Wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke [Bridge] I know you love me, know you love me So I Don't fear Nobody But You I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2 [Verse Two] Ah! Siamini joh ju vile naishi life Ni ngumu kuamini hii si ndoto Sijui kesho vile itakaa kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho Yani sana, tena sana Hata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kodogo Ah sibabaiki nikiskia mkiongea Nazidi kuwapa mi kisogo, nakama saa sismami Staki life iniwache mataani mtaani Mwenyezi nchungie familia yangu na pia Za wale wote sauti yangu wanaiskia Tupe afya nzuri, na maisha matamu Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe wakupewa shangwe ni wewe, wa kupewa shagwe ni wewe.. hee! [Chorus] Naamwogopa Mungu Pekee Wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke [Bridge] I know you love me, know you love me So I Don't fear Nobody But You I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2 [Hook] I pray we, me and my people we never die Say we live forever and forever we multiply And wherever we go Ni nini wanaweza nishow hata ka sina kitu Uko na mimi kila siku Kila siku Wewe Pekee [Chorus] Naamwogopa Mungu Pekee Wanadam' kija kuntafash naomba Mungu Ntetee Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke [Bridge] I know you love me, know you love me So I Don't fear Nobody But You I know you love me know you love me Nisitetemeke ×2