Nyashinski - Hayawani lyrics

Published

0 2430 0

Nyashinski - Hayawani lyrics

Verse 1: Kabla Suala ukamilishe Mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki,wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu! Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu yangu simu Asahau alivyonipenda! Ooo Hayawani Chorus: Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani, hayayayaya Verse 2: Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki Sorry if I never made u happy I can’t be there for everybody It’s easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from every one Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria Woii binadamu wote mmegeuka Hyawani! Chorus: Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani, hayayayayaya