MTM - Ananitazama lyrics

Published

0 243 0

MTM - Ananitazama lyrics

[Intro: G van] Ananitazama Ananitazama Ananitazama yeyee! Ananitazama yeyeeee.. heeey [Mic gower] Yeaah, Its yo boy Mic Gower here Najua watu wanapitia mambo magumu sana Its the same here [Verse 1 : Mic gower] Maisha ni mzungunguko, navyoishi mi mtumishi Hata nikifa leo, najua sauti itaishi Mambo mengi weka kando, dhambi ikiwa namba one Nilikua nimejawa kiburi, sasa mwanaharakati Nilivyokua mdogo sikujua mema wala baya Kila kitu kwangu nilichofanya niliona sawa Wazazi walinisihi nisijiunge na wabaya Nikapuuza, weka kando yangu yaende sawa Wazaz walibana, nisifanye nachotaka Kuruka ukuta,yote ujinga,na walinzi niliwalipa Nako church, neno zuri nilisikia Okoka, okoka, ndizo stry nilizopewa Nika apa, sitorudi tena kuzisikia Wavuta bangi, na kamali, nikawaona kama wana Kanisa kwa kubanwa, nikaona kama chupa Na ushauri washikaj zangu, ni ibada kama kawa [Chorus: G van] Maisha bila wewe nisingekua hivi Nashukuru jehova umenitoa mbali I thank you, Unanitazama I thank you, jehova I thank you, Unanitazama I thank you, Jehova...yaah yaah [Verse 2: Mic gower] Maisha yalikua hayana mbele wala nyuma Wazazi wangu walijitahidi kuniombea na kufunga Ndugu zangu, walinisusa nikaonekana kama sifai Hapo ndo nikatambua, there are is many rooms kwa dady Kuna vita kati yangu, kati ya mungu na shetani Na ilikua juu yangu, kati ya maombi na utani Nadhani, najua huwez, mi, kuni understand Na hii ni stroy ya kweli, na si utani Nimekua mtu mzima , mawazo yametanuka Baba yangu still anaomba, anadhani amenikosa Nikasema nimetubu, shetani amenikosa Na yesu kwangu ndo mwamba, kwa mwovu amenitoa Amebadilishwa nimekua, mtu mwingine Na si, aliepotea kwa muovu, pengine Nimeokoka naendelea kushika mistari mingine Na yesu anaokoa mitaa, kila kona ya mitaa [Chorus: G van] Maisha bila wewe nisingekua hivi Nashukuru jehova umenitoa mbali I thank you, Unanitazama I thank you, jehova I thank you, Unanitazama I thank you, Jehova...yaah yaah Maisha bila wewe nisingekua hivi Nashukuru jehova umenitoa mbali I thank you, Unanitazama I thank you, jehova I thank you, Unanitazama I thank you, Jehova...yaah yaah [outro G van] Ooowh, ooowwh, ooowh Heeey, heeey heeey, Halleluyah!