Mr. Blue - Dhahabu lyrics

Featuring , ,

Published

0 229 0

Mr. Blue - Dhahabu lyrics

Nakupenda maa! Basi njoo maa! Nikila saa kabisa! uko kwa kichaa! Girl just listen,tuishi kama Heaven Nakuweka kwenye top 10 Nadata na reception Mi nachoka hoi, pande zote huniboi Niite baby boy to me, achana na Toy Dozz pipo doz mapozi Sasa dozi na hisia za machozi Verse 1-Dully Sykes Na napenda zako nywele ndefu Zimekwenda shule Upande wa maumbile Nadata toka pande pande ile Sura yenye mvuto mashavu yenye Dimpose Sura yenye mvuto mashavu yenye Dimpose Kiitikio Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upande ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upandе ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Verse 2 - Joslin Mara ya kwanza nilikutana nayе kiutani Nikampa hi! huku akinishika shavuni Am a Josline a.k.a mpendwa na watu Kwasababu mi naflow style zaidi ya tatu Ye kashtuka kanif*gilia Hakuamini kama 'Basi' nimewaimbia Mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia Mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia [Ghafla akaanza kulia Huku akinishika kwa hisia [Wasiwasi ukanijia Kumuona demu anaridhia Anadai anazimika nnavyo flow Nambusu mpaka mwisho, yaani naweka fullye Hisia zangu kwenye muziki zinachoma Ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana Mtoto mzuri ukimwona utampa heshima Mi namuita dhahabu ndani ya Kariakoo nzima Kiitikio Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upande ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upande ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Verse 3 - Mr Blu U-Lonely tena bye, mi nafurahi Niko sehemuza majani, kichwani Niko high Namuona manzii maskani, yuko So fly Mi nawahi, najigeuza Dully namfuata Nampa hi Nimeshaini kama Mully, kadata Mtoto hakatai Anangaa kama Gold Yeah! yeah! yeah! yoah! Anaita kama bling thing Kama dhahabu, amefika kwa King Queen wa kheri na ajabu Anakila sababu, asipate tabu Nimezimika ajabu...sana tu Yoah! Hapendi pesa, hapendi show Yeah anampenda Blu Washamteta hasemi no! Ye anawaona fool Noma na kabaisa ajulikana mpaka kwetu Steve unataka kumjua? Master J twenzetu Kiitikio Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upande ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Oh! oh! oh! yaani soo! Nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo Mtoto anavutia kila upande ooh! Mtoto anakomesha mpaka mabishoo Bridge - Dully Ohhhh! Unasifiwa style Una bonge la smile Nila 'am telling', napenda yako smile Popote najinadi [2x Hakuna wa zaidi, hata awe P.Diddy Oh my girl sema chochote nikugee Mtoto unakata, hapo mi ndo nadata Kiuno nakamata, oh! raha nazipata Raha nazipata Go! go shorty Washa mi nidate,no story Unaponipa mate, ona sasa wameshaanza hao Nishikie, na sa walete gan tena zao Repeat Chorus