Mesen Selekta - Game Over lyrics

Published

0 170 0

Mesen Selekta - Game Over lyrics

[INTRO] Naspit Lugha Chafu habari mbaya kwa wasafi Wat it do dirty dirty Bonihasto Yeahhhhh [VERSE 1] Naspit lugha chafu,habari mbaya kwa wasafi Flow inapigwa rafu , bado mchizi nipo high Nimecome bila ishara,no salamu n0 trela Nipo hot ile imara ,natake over kisela Barz zinamake rain,nareign kila channel Mitaa inafeel again,nagain extra sell Nafanya ngumu maumivu, nani humu atasavivu Tabasamu nusu uvivu ,ninarun 255 Sio pekee unayenigwaya,hata ticha wako ananihofia Nameteka kila himaya,muulize rapa unayemsifia Tattoos fake kujiita gangster,hizo ni drama mzazi Haushine bila feature,flow nzima unacopy Nasikiaga wanaandika,mi nachora mpaka sifa Navunja kila record,brain imeshiba maarifa %%%%%$$$$$$$??????,colm bongo rap saviour Ni ile Flow yenye swagga,fleva adimu kwa kitaa O yeah hapatoshi Mashairi yanafuka moshi Ukishtuka nishatisha,na mchezo ushakwisha Matokeo yanakupagawisha, Namba moja nawakilisha [HOOK] Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Nakimbiza hii mitaa, Game over Nakimbiza hii mitaa Game over Nakimbiza hii mitaa ,Game over Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show [VERSE 2] Weka Battle kisha bet,na my brain ipo bright Niwashike kile ubeti,niwamalize na show tight Sura kavu sina hofu,habari iliyokuja na dosari Nimemasta hii gemu,moyo jasiri hodari Fake n***az wanahate,kwa hizi metaphor wanasweat Wanaspit bila fakt,style zao outta date Wanafananisha kama sana,kila line wanajikana Waliposimama haijajulikana,ile ya jana haina maana 18 knockout round hii sikuachi 3D,on stage,ni ushindi kila touch Mi alone sihitaji team,uwezo makini hawach*moki Naogopesha kwa dream,wanascream gmme the break Usikosee raha n***a ,kama kidole cha kati Huwezi simama mmoja wenzako wote wakiketi Rewind zile line hazijakukaa kwenye mind Go blind kila sehemu nawaachia vumbi O yeah ,Me siye yule unayemtaka Me ni yule anayewashata,new chapta soma chapa Haaaa Yule Chalii aiseee Nafanya mbio watimue,yo lazima unichukie bro [HOOK ] Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Nakimbiza hii mitaa, Game over Nakimbiza hii mitaa Game over Nakimbiza hii mitaa ,Game over Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show [Verse 3] Duke moja chali,hii place haustahili Mi noumer chalii,na hii swahili Mcz wameshika tama,hali duni Nasound kinyamwezi wanasema nasahau tamaduni Ni dakika za majeruhi,namaanisha hitimisho Usinipe hata hi ,tabasamu mara ya mwisho Mzuka upo high ,nasimamia kila show Nishajikaki kifasihi,ni ushindi hakuna droo Ni ushindi hakuna droo Naharibu kila show Bonihasto Boni P Best Rapper In Town [HOOK] Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Chalii naharibu kila show Mzuka high , ni ushindi hakuna droo Nakimbiza hii mitaa, Game over Nakimbiza hii mitaa Game over Nakimbiza hii mitaa ,Game over Ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show