Mercy Myra - Sitaki lyrics

Published

0 527 0

Mercy Myra - Sitaki lyrics

ntro Ogopa, rafiki nyoka Atakugeuzia kama kinyonga Watani bomba saidia Kumbe wajinyonga Brother, I suggest you rather take a chill pill And think twice before we can fight each other Trying to uncover about my lover Mafanya nimefanyeje ....whatever You think you're clever Don't be silly You only be scandalous like Lewinsky and Billy Ukiacha msengenyo tu pamoja Lakini kini kiafinyo tutaongoja Ukitaka mchogoano utangoja Hey, utangoja (2x) Verse 1 Tabia kama hiyo Mimi sipendi Wala sio ungwana Tena sio ustaarabu Why you wanna hurt me, thought you were my friend Seems like you desert me, when I need a hand Chorus 2x Mimi sitaki, sitaki, sitaki, sitaki uovu Don't want friends who backbite Just cuz I'm out of sight Mimi sitaki, sitaki, sitaki, sitaki uovu Don't wanna hurt in this way Better take care of what you say Verse 2 I am confused by these rumours Growing in people's heads like tumours I think I am fed up These liars won't shut up They keep playing with the knife They get themselves cut up When they see me in the club, they be like 'yo what up' Why lie, I thought you were my guy But you were just a spy Na mambo ya mensengenyo, mi sitaki Na mambo ya mchongwano, mi sitaki Kama hiyo ndiyo mambo jo, mi sitaki Hey, mi sitaki (2x) Verse 3 Kama niko mwenyewe Mbona hamnisengenyi Nikiondoka kidogo Nyumba mwanisengenya I am only asking of you, what I know is fair Don't beg loyalty, where you don't really care Repeat Chorus 2x Verse 4 Tabia kama hiyo mimi sipendi Sio mwana, tena sio ustaarabu ustaarabu Nikiwa mwenyewe mbona hamnisengenyi Nikiondoka kidogo kidogo bona mnasengenya Ooh yeeaah Mwani se ngenya (3x) Repeat Chorus till fade