Verse 1 2x Si kwamba tu naimba sometimes huwa nalia Hofu na mashaka ulipo nakuondoshea Ulisema waja mnyamwezi nikakungojea Sema mami sema lini utarejea? Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Uliposema waja wee mi nikakungojea Mara muda umepita Abdul Bonge umeshamboa Hivi kangoja mpaka Mola kamchukua? Sema mamy sema lini utarejea? Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Chorus Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Bongo toka ulipotoka miaka imepita Sijakuona wangu my darling Ni mbali huko uliko mi nna mashaka Nakosa raha kabisa Verse 2 Penzi lako nkilikosa baby kwangu soo Ndo mana mi nakwita baby baby kwangu njoo Nakupa laivu baby unanitesa roho Ndo mannakonda nadata na picha zako Au ndo ule mfano baby wanipenda roho Na ile nyama mbichi baby itaniuma roho Kama ni dili ntazicheza baadae Kwanza rudi home washangae Rudi home baby ili wapagawe Nicheze nawe Kuchi Kuchi Hota Haii Nakusubiri baby, nakungojea mchumba Nakusubiri nakungoja Mchumba usinizuge Nakusubiri baby nakungojea mchumba Repeat Chorus Verse 3 Na kama waja niambie baby yee iye Kama utanitosa mi nijua baby yee iye Haina mana sina jinsi I love you girl I love you shori everyday Haina mana sina jinsi I love you girl I love you shori everyday Repeat Chorus till fade