MB Dogg - Dear lyrics

Published

0 1014 0

MB Dogg - Dear lyrics

Verse 1 Huamini miujiza mchumba Sauti ya nyuki inasikika Sogea karibu 'baby' 'time' zishafika Unipe uhuru 'dear Nikiss' nnapotoka Tukae mlimani dear Niwe 'free' ndani ya kopa Penzi kwa fujo my boo Moyo wangu ushauteka Raha ya Afrika RTD Mimi ndo 'one naskika Hivi kwanini dear Moyo wangu unautesa Hivi hushoboki dear Inavyonipenda East Africa Yii yii dear, I need you dear Ooh dear, I Love you my baby Chorus Haya mapenzi ni kitu gani Muda nawaza mpaka nimechoka Vile Dog mimi nina jina Mashori wengi tu wanashoboka Nnayempenda mimi hanipendi Nnachotaka kwake mi sipati Kukataa mpenzi ana haki nami Kumuacha moyo hautaki Verse 2 Naamini wenye tamaa ni wengi Wachache wanajua kupenda Ninakupenda we kwa moyo o Ukiniacha mi ntakonda Company yetu wote makacha a Kuhusu mabitozi hakuna kabisa a Jimix' na Magangsters baby upate raha a Hoo nakondaa kabisa a Wazuri kibao wananipenda Siwajali mimi nawatesa Cha ajabu yule wangu wa moyo o Yeye hanitaki kabisa a Company yetu wote makacha a Kuhusu mabitozi hakuna kabisa a, Jimix na Magangsters baby upate raha a Hoo nakondaa kabisa a Mwambieni mi kama ntakufa Kifo changu amesababisha Simlazimishi ye kunipenda Ila mwambieni ananikondesha Nampenda mpenzi mikachaa Nisipo mwona Dog sina raha Mwambieni wangu sinyoraa Yii yii yii nampenda a Hook 2x Yii yii dear, I need you dear Ooh dear, I Love you my baby Repeat Chorus