Matonya - Anita lyrics

Published

0 3043 0

Matonya - Anita lyrics

Chorus Anita, Anita wangu, hey lele lilei iyeeee iyee Ei sukuma sukuma, ili siku ziende Urudi nyumbani tuishi pamoja Verse - Matonya Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi Ukumbuka tulilishana yamini Kwamba mimi na wewe Maisha milele mpaka nafukiwa chini Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe Natamani uyajue ili unilinde mimi Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mimi Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi Kama ni maradhi, mimi ndio wako nakitari Unambie mapema ili dawa yake niijue Kama ni waradhii iiiiiie Anita Repeat Chorus Verse - Lady Jaydee Unajua nilikupendaa zaidi Ila ya dunia we yalikuzidi Nilitamani kuwa nawe zaidi Kuliko yoyote unayemdhani Siku zote uko safarini kuniacha mimi upweke Mimi nilikupena sana we mpenzi Je kweli wataka kunienzi Au unataka kunitia mi mashakani Verse - Matonya Siku zote nipo kama chizi, ni yangu njiani naongea Hiyo yote sababu yako anita kilio pokea Chifu na majirani mtani wanakuulizia Sina la kuwajibu nabaki kama chichi najililia Waliniambia nikuache wewe Ili mimi niishi mwenyewe Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wa maishani Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo nyuma malawama Sijiwezi mtoto wa kitanga Kwako taabani nimeshamwaga manyanga Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo nyuma malawama Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako taabani. Repeat Chorus till fade