Maroon Commandos - Amka Kumekucha lyrics

Published

0 6427 0

Maroon Commandos - Amka Kumekucha lyrics

uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa taifa kwani nicho kiini hasa kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee amka kumekucha kamata jembe na panga twende shamba hata wewe mwanangu amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda shule hata wewe Karani amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa taifa kwani nicho kiini hasa kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee amka kumekucha kamata jembe na panga twende shamba hata wewe mwanangu amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda shule hata wewe Karani amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi uvivu ni adui mkubwa wa ujenzi wa taifa kwani nicho kiini hasa kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee amka kumekucha kamata jembe na panga twende shamba hata wewe mwanangu amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda shule hata wewe Karani amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi uvivu ndio adui wa ujenzi wa taifa jiepushe na uvivu tujenge taifa ndugu yangu kumekucha amka twende shamba jiepushe na uvivu tujenge taifa mwanamke kumekucha amka uende shule elimu ndio msingi wa maendeleo Karani kumekucha amka uende kazi jiepushe na uvivu tujenge taifa uvivu ndio adui wa ujenzi wa taifa jiepushe na uvivu tujenge taifa ndugu yangu kumekucha amka twende shamba jiepushe na uvivu tujenge taifa mwanamke kumekucha amka uende shule elimu ndio msingi wa maendeleo Karani kumekucha amka uende kazi jiepushe na uvivu tujenge taifa hata wewe Karani amka kumekucha kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi