Hey Hey, Hey (X8) Hook: Hey Hey Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi, Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi, Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi, Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi, Napambana Kwa Bidii, Natafuta Kwa Bidii, Naenda Kazi Kwa Bidii, Sibagui Kazi Najifunza Kwa Bidii, Najituma Kwa Bidii, Naomba Mungu Kwa Bidii, Sijejuta Kuwa Namii Yee Verse 1: Na Daima *Go Niliishi Kwa Taabu, Sababu Ya Uzembe Wangu, Nina-La-Lamika Mungu Na Uvivu Ni Wangu-U! Sikujua Kitu Budget (Budget), Pesa Nitatumiaje (Aje), Nilijua Iko Pale Tuu-Pale Tuu, Nilipinda Mi Balaa, Hata Nguo Tuu Kuvaa, Nilishinda Nina-Njaa, Hata Shing-Kumi Sinaa Hook Ujue Baby Sivyo Unavyoniona Mi, Naona Wasiwasi Mwingi Unapokuwa Na Mi, Unawaza Mengi, Labda Maishani Uwe Namimi, Kuwa Maskini Na Tabu Nyingi, Napambana Kwa Bidii (Hey Hey, Hey), Natafuta Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naenda Kazi Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sibagui Kazi(Hey Hey, Hey), Najifunza Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Najituma Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Naomba Mungu Kwa Bidii(Hey Hey, Hey), Sijejuta Kuwa Namii Yee(Hey Hey, Hey) Verse 2 Nimejifunza Sasa, Naomba Ujipe-Maa, Sitocheza Kwa Saan Ama Business Man, Ma Baby Njoo Uelewe, Biashara Ndogo, Yes, Ndio Inafanya Tuule Ujipe'ma, Kuwa Nami Enjoy, Wala Hatu-Destroy Budget Tuje Iumba, N'lisha-Pinda Mi Balaa Me-Jifunza Mi Mama, Labda Mola Tu Apange, Sio Kwa Uvivuu Tena Repeat Hook Bridge Nambieee-Eeey-Aaai, Uuuuh- Hata Kama Mungu Hakunipa Vyote, Chochote Alichonipa Lazma'n'tumieee, Akili Ntumiee, Miguu, Mikono, Nguvu, Kipaji Nionyeshe Baby Repeat Hook Laiti Ungejua Najituma Sana, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana, Eeeeh! Wewe My Baby, Bidii, Bidii Yangu-Kwako, Maisha Yetuu, Maisha, Mimi Na Wewe Hey Hey, Hey (X4) Laiti Ungejua Najituma Sana (Hey Hey, Hey), Baby Laiti Ungejua Napambana Sana (Hey Hey, Hey), Baby Laiti Ungejua, Baby Laiti, Baby Laiti, Baby Laiti Ungejua Napambana Sana Baby Laiti Ungejua Nakupenda