LIZER - Salome lyrics

Published

0 163 0

LIZER - Salome lyrics

[Rayvanny] Kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka Mwendo na shepu, vyote mwanana Mimi suruali yanidondoka Tukimbizane nini salome wangu? Iyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini salome wangu Ukimuona jongoo Inama kidogo, shika magoti Mimi nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo, sio roboti Chumbani bingili bingili somersault [Diamond Platnumz] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe [Diamond Platnumz] Utamu kolea aprokoto Ting'ali ting'ali ndani kwa moto Nitamnyongea, msokoto Niteme sumu kali kama kobokoo Eeeh Mapenzi yananipa shida Shida maama, ni donda lisilokuwa na tiba Tiba bwana, usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda ngenge ni nganganga. [Diamond Platnumz] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe [Rayvanny] Mie mwenzako nyang'anyang'a Mie binzari we ndo nyanya Baby kwangwaru Isimamie kama kangaroo Ibane kangwaru Babu Juma mpige kwakwaru Kwakwaru kwakwa [Diamond Platnumz] Chambua kama karanga sasa Chambua kama karanga Ichambue kama karanga Salome Chambua kama karanga I say washa washa moto washa Songa songa ugali songa songa mpaka chini mpaka chini [Diamond Platnumz & Rayvanny] wenye wivu wajinyonge leo wanye wivu wajiinyonge wenye wivu wajinyonge Salome wenye wivu wajinyonge wenye wivu wajinyonge kweli wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo) (wale kodo) ukinyonga (wanakodoa kodo wanakodoa) ukisonga (wanakodoa kodo wanakodoa)