Verse 1 Niliskia tufununu, kwamba Ulipata Mwingine, Anayekupenda zaidi ya mimi, mtafunga ndoa pengine, Yetu Ilikuwa shadow, mapenzi yenu yamekolea, Lazima huwa anakupa, vitu sikuwa nakupea.. Ndoto zako zote, ulizo niambia, naona kama kweli sasa zinatimia,, Na sina chochote, cha kukuambia, ila nakonda kweli nikikufikiria Hook Sura yako umbo lako jamani Eeeh Busu na mahaba chumbani maaami Mawaidha yako nikiwa matatani Eeeh Nikikumbuka najiona hayawani maaami Chorus Nawatakia memaa (nawatakia memaa ) Nawatakia memaa (nawatakia memaa ) Nawatakia memaa (nawatakia memaa ) Basi kwaheri *4 mama ( Ndoto yangu ya mchana) Verse 2: Ingawa inaniumaaNiko na furaha moyoni,, Kuona kwamba umepata, vyote ulivyokuwa unatamani,, Naomba nipate mwaliko, wa harusi nije nile wali Tupige picha na wadau, nikupe Zawadi kama zamani,, Alafu ntapeform, Kama behste yako, Kale kawimbo nilikuimbia shambani,, Na nitakuinform , Tunza mume wako, Japo kuna vitu zenye ninatamani... Hook Sura yako umbo lako jamani Eeeh Busu na mahaba chumbani maaami Mawaidha yako nikiwa matatani Eeeh Nikikumbuka najiona hayawani maaami Ingawa ningependa ungekuwa wangu pekeee(nawatakia memaa ) Ingawa moyoni umeniachia kidonda (nawatakia memaa ) Namwomba mungu, anipatie Mwingine kama wewe (nawatakia memaa ) Hivo kwaheri *4 mama (Ndoto yangu ya mchana) Lakini ninaomba unifanyie favour moja (nawatakia memaa ) Ukijifungua kama ni wa kiume, mpe jina langu (nawatakia memaa ) Na kama ni wa kike mpe jina la mama yangu (nawatakia memaa ) Hivo kwaheriiiiiiiiii (Ndoto yangu ya mchana)