VERSE 1 Tufununu tumespread kwa Mitaa, Kwamba Leteipa siku hizi anaitwa VampK Sijui Ni kun'gu ama Ni Kichaa, Soo yule tulimjua kipindi akiwa class eight Na Kama rungu anatembea Na guitar, Ameacha Kuimba Choir sikuhizi anaimba mapenzi, Na kitu moja chenye Nina ihakika, Akimaliza Mwaka mmoja mniite mshenzi Maulana tenda Jambo, Wanangoja nifail waniuse Kama example, Ona tulikaonya kitamboo, Kamekataa sa kameshikwa na mascundles, Na kama bado mi Ni wako, tafadhali nifungulie milango, Wanipende Kama kitambo, Ngoma zangu ziskike Kenya mpaka N'gambo HOOK: They said I messed up her sister, Nikamfanya ahepe home, I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake kuchoma ndom, Wasn't it for me and my evil pictures, Moto wa jirani angepeform, Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe form CHORUS: (Am still me) Sunday tukienda Sunday School saa Tisa kuwahi wrestling (Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire mpaka battery (Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me)mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii VERSE 2 Kanajifanya sharobaro Kila time Ni ming'aro Kusumbua akina Caro, Kubrag mitani na miado za maparo, Wazazi waliwaste Karo Kusomesha huyo mtaro Hapo walitupa mbao heri wangebuy maziwa wakapike chai kwao.. Ni wangap tumewaona wasanii Wameishia kwa mihadarati.. Kanadhani kashakuwa katalii Kashaanza kuvuta bangi HOOK: They said I messed up her sister, Nikamfanya ahepe home, I acted like a evil teacher, Nikafunza brother yake kuchoma ndom, Wasn't it for me and my evil pictures, Moto wa jirani angepeform, Kuku zenu tafadhali Ficha, Atazigeuza zikuwe form CHORUS: (Am still me) Sunday tukienda Sunday School saa Tisa kuwahi wrestling (Am still me) Raima tukila mcheleku, Gari za wire mpaka battery (Am still me) mnaniita msanii, Kioo Cha jamii (Am still me)mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii