Les Wanyika - Ombi Lako lyrics

Published

0 722 0

Les Wanyika - Ombi Lako lyrics

Swali lako mwana mama nakujibu leo kuwa siwezi oh, siwezi oh, mama mimi nilielewa tokea zamani jasho lakutoka ukiniona na yule eeh Noni nakupenda si ajabu kwa mimi kwani imekuwa ni wimbo duniani nakusihi na mama samahani oh nilijua wa ziwa ni hadaa zile ni hadithi kwangu ulisimulia kwani sioni dalili za ukweli wako eeh ombi lako ulifoli na mimi oh nimwache wangu nimpendaye nia na kusudi lako ni kutuvuruga wengi walishindwa mi nitakuweza wapi oh ombi lako ulifoli na mimi oh nimwache wangu nimpendaye nia na kusudi lako ni kutuvuruga wengi walishindwa mi nitakuweza wapi oh mama samahani oh tena uniache kwani nafahamu utakuja nijutisha eeh wengi walijuta kuwapoteza wapenzi juu ya kudanganywa hivyo mimi naepuka eeh kwanza jiulize ili ujielezee tatu ujijibu ombi lako mwana mama eeh hiyo ni aibu tena ni fedheha kwani ule wangu wewe ni shangazi yako eeh mama samahani oh tena uniache kwani nafahamu utakuja nijutisha eeh wengi walijuta kuwapoteza wapenzi juu ya kudanganywa hivyo mimi naepuka eeh