Les Wanyika - Dunia Kigeugeu lyrics

Published

0 3161 0

Les Wanyika - Dunia Kigeugeu lyrics

naamini unaenda hutarudi oh hata kama sio leo wala kesho eeh mimi wako mama nawe wangu cherie mama mbona hivyo mwenzangu mama waniacha kisa nini oh oh bibi eh sio nia yangu niwe maskini oh uamuzi wake Mungu eh mama ufukara oh bibi eeh si kilema oh cherie mama naamini iko siku mama nitakuwa kama wale, fulani eeh naamini unaenda hutarudi oh hata kama sio leo wala kesho eeh mimi wako mama nawe wangu cherie mama mbona hivyo mwenzangu mama waniacha kisa nini oh oh bibi eh sio nia yangu niwe maskini oh uamuzi wake Mungu eh mama ufukara oh bibi eeh si kilema oh cherie mama naamini iko siku mama nitakuwa kama wale, fulani eeh kumbuka mama mwenyewe uliapa eeh tutaishi tutenganishwe na kifo eeh mi najuta sikujua, oh mama hukuishi kimapenzi, oh mama eeh, ukumbuke mama, aah sikuwa hivyo mwanzo, eeh dunia kigeugeu, aah leo hivi kesho vile, mama eeh, ufukara si kilema, aah ndio hali ya dunia, hivyo sitovunjika moyo mama yoyo siku yangu itafika na mimi oh eeh, ukumbuke mama, aah sikuwa hivyo mwanzo, eeh dunia kigeugeu, aah leo hivi kesho vile, mama eeh, ufukara si kilema, aah ndio hali ya dunia, hivyo sitovunjika moyo mama yoyo siku yangu itafika na mimi oh