Les Wanyika - Afro lyrics

Published

0 5974 0

Les Wanyika - Afro lyrics

Afro, Afro mama oh oh mtoto wa Sagana eeh mama salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipokee nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh popote walipo, Afro mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni nina wasiwasi, mmh nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho uliniahidi, Afro tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh mbona sikuoni, mama Afro mama, eeh yao mtoto wa Sagana, eeh eeh kaa ukumbuke, eeh penzi hugeuka, eeh leo kwangu kesho kwako, mama eeh utanikumbuka, eeh Afro, mtoto wa Sagana nisalimie ndugu na wazazi wako mama eeh popote walipo, Afro mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni nina wasiwasi, mmh nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho uliniahidi, Afro tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh mbona sikuoni, mama Afro mama, eeh yao mtoto wa Sagana, eeh eeh kaa ukumbuke, eeh penzi hugeuka, eeh leo kwangu kesho kwako, mama eeh utanikumbuka eeh, yao Afro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh usiniweke pembeni mama, aah ingawa wako wengi wazuri, mami lakini nimekuchagua wewe, eeh tabia zako sawa na sura yako, nimeridhika kuwa na wewe, eeh Sagana unipeleke mama, ooh nikawaone wazazi wako mama na TZ pia tufike mami ukawaone baba na mama, eeh mengine mengi sisemi mama, aah uamuzi nakuwachia wewe, eeh mwisho nakuombea salama, Afro mpaka siku tutapoonana, mami oh, Magara Nicholas Magara mtoto wa Kisii Afro I love you mama hatima basi