Lemonade - Popper lyrics

Featuring ,

Published

0 191 0

Lemonade - Popper lyrics

Intro Mhh mhh mhh Yeah sugarboy once again I got lemonade on this one beat mehn Panner on the beat We are for girlfriend Chorus(lemonade) All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend Fanya haraka haraka tuondoke mammy Uwe my girlfriend X2 Verse(Popper) Unconditional love my soulmate umeniimpress Kila kona noma you fill my heart spaces When you kiss me i'll be blessed kam kirikuu Tutatoka wote from the bottom mpaka kule juu juu You gave me your heart,your lovе and promises(you made it) You ask me if i got you as long as you got mе(i got it) I keep this love until i'm breathless(i'nailed it) You told me you love me today,tomorrow(i admit it) When you call me like that i will call you right back GIRLFRIEND Should i do what moyo wangu ndo usha stuck What'chu like kwangu we ndo favorite I hold you back and everything will be nice Naota kila siku kuwa nawe Natoka ntarudi baadae Kwenye verse ya pili mpaka ushangae All i need girl is you to be my girlfriend... Chorus(lemonade) All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend Fanya haraka haraka tuondoke mammy Uwe my girlfriend X2 Verse(Popper) Kama me ndo wako boyfriend basi usimwage ladhi Nipe vya ndani na nje WEUSI sitaki kazi Kama ni utani na uzuge sio ile kazi kazi Asubuhi kwa usiku wapemba huwa hatumwagi nazi Sa ndo ushaitest hii ladha na unajimwaga kwakweli Check una enjoy kama mshamba kuwa feli Jinsi hauniboi nikikukosa nita fail Kidonge bila maji sio amina sanaipei Mama move maumivu kutoka kwangu Kila siku happy day kama dunia yangu Changu kiwe chako,chako kiwe changu Nifungulie dunia we ndo clouds ya moyo wangu Taratibu taratibu nitakutibu tabibu You ask me to choose what i want only we ndo jibu Basi unanikosha kwa sifa unaniosha Wajumbe wanafikili ipo siku utanitosa All i need Chorus(lemonade) All i need niwe nawe mammy uwe my girlfriend Fanya haraka haraka tuondoke mammy Uwe my girlfriend X2 Outro Fanya haraka haraka tuondoke mammy Uwe my girlfriend eeh