Lady Jay Dee - Siku Hazigandi lyrics

Published

0 807 0

Lady Jay Dee - Siku Hazigandi lyrics

Mmmh ad lib Aiya ya ya ya.... Chorus Yote mlosema, mlotenda, nasahau, nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Mmmh liosema Aah nasonga mbele Mangapi yamesemwa, mangapi nimeona Eh nimesemwa sana jamani, Hamchoki? Repeat Chorus Verse 1 Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Kila mtu ana dhambi, msijihesabie haki Kusemwa semwa sitaki, hakuna alie msafi Repeat Chorus Verse 2 Sijali maneno yenu kwani kuna hata magazeti Sijali visa vyenu havifanii kwa ukweni Ni potofu fikra zenu msokaa kufanya yenu Kunijua sana undani siwapi tena nafasi Ooh siku hazigandi, hata mseme mangapi Kila mtu ana dhambi, hakuna alie msafi Verse 3 Nadhani hamyajali maumivu yangu moyoni Na wala hampendi kwangu yatokee mazuri Hata nisiowategemea, leo hii mmenigeuka Hata nilio waheshimu, leo hii mnanihukumu Repeat Chorus till fade