Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Nimefanya Nini lyrics

Published

0 205 0

Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili - Nimefanya Nini lyrics

Nimefanya nini Bwana kunipenda hivi? Nilikuudhi Bwana kwa maovu yangu. Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Nilipotea Bwana mbali nawe Sasa umenivuta, Bwana, kwa upendo wako Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Nakushukuru Bwana kwa upendo wako Sasa ninaimba Bwana Haleluya Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Nikifika mbinguni Yesu nitasahau yote Yaliyonipata (mengi) hapa duniani Upendo wako? (Bwana) wa ajabu, wa ajabu Uwezo wako (Bwana) wa ajabu, wa ajabu