Klassik Nation - UWI lyrics

Published

0 210 0

Klassik Nation - UWI lyrics

MIKE ZERO Kama mtoto na peremende; Kweli moyo wanikata wembe; Wanitia joto tena mimi mzembe; Mkulima ndoto tena niko na jembe Sina budi bali kukuambia; Najikaza misuli tena navumilia KINGPHEEZLE Ate onyirira bityaa Mukama yakugemulira neera Nga ate oli na mukyaamu Onyirira bitya buli muwala akutyaaaaa.., How could ya know my mind got stuck by you gyal Super platinum but ma value is in you...ye eeh... Pon yo body mi a boda boda rider Nakudata tena kwangu si kawaida Saida Ama unaitwaga Halima Salima, salam zangu zikufikie eehee... DON SANTO Ah uwi uwi; Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah Ah uwi uwi; Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah BADMAN KILLA Ona haka kandege kajileta kwa kiota Kali ringa ringa, nami pia nikanyeta Klassik time! Loving, forgiving and living my life like is no time! Tena siwezi kulalamika mola kanipa zawadi; Katoto yaani pretty pretty; Lazima nikalime miti; She my lady! She my babe! DON SANTO Ah uwi uwi; Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah Ah uwi uwi; Moyo wapenda na nafsi ishapenda, aaaah DON SANTO Oh Kalpop music to the world! Oh oh eh yeah! Ooh! Klassik Nation Yeah! Blessings! Blessings! Blessings!