Kitu Sewer - Saa Hii Saa Hii lyrics

Published

0 834 0

Kitu Sewer - Saa Hii Saa Hii lyrics

[Intro - Kitu Sewer] Cheeky-cheeky... Ni Kitu Sewer, Come tena [Intro - G-Wiji] Mashifti... Ndani ya building... Mara ingine [Hook: Kitu Sewer] Kila kitu unaeza fanya Fanya saa hii saa hii Juu saa hii saa hii, ndio tunapumua Huezi jua vile kesho itakua Biashara fungua, land nunua Fanya saa hii saa hii Juu huezi jua vile kesho itakua Kila kitu unaeza fanya Fanya saa hii saa hii Juu saa hii saa hii, ndio tunapumua Huezi jua vile kesho itakua Biashara fungua, land nunua Juu huezi jua vile kesho itakua Kila kitu unaeza fanya Fanya saa hii saa hii Juu saa hii saa hii, ndio tunapumua Huezi jua vile kesho itakua Juu saa hii saa hii ndio tunapumua [Verse 1: Kitu Sewer] Uliangukia Ukadimbua dough zote Saa hii unaitaitisha za kutoa lock Ukiambia maboyz, wadogo Vile ulikua mdogo Ulikua ukichafua Ukisema heri ungejua Pesa maua Niko nahuyu beste yangu Kila rinda ikipita kwa njia Anadai kui vua Saa hii tunamtoa nje AmeKkata mbaya, akaote jua Akili ndogo uongea vile jana ilikua Kesho leo itakua jana Sii tuko base tunachana Usiwadharau hawana Ni information wana-gather Vile unaishi na watu jo, ina-matter Kesho, kile ulitoa leo ndio utapata Prison warder anajua pia ye ni mfungwa wa kawa Saa zingine pia sumu ziki-mix-iwa ni dawa Time ni saa hii ya kuji-radar au kuji-murder Ka una-feeling we ni badman, keep-it-to-yourself Kuna wengine wana-suffer Ka ni deni lipa saa hii Usiongee kesho Hatupiganangi na ma-pillow, ka-obsessions Hii ni kwa wale wasee wali-backslide after kuenda gospel Na mabuda wali-retire, wanaishi kwa-hotel Hawaku-buy any [Hook] [Verse 2: Kitu Sewer] Saa hii saa hii naishi na vichwa vibovu Wafinya vitovu Wachimba migodi Speak-off the devil, na utamwona saa hii saa hii Ataji-show, Mahasidi hawataki ku-keep-off Kila kitu ikifanywa too much ni sumu Starehe sahi lakini hazidumu Umekunywa ukasahau jamii Unamajukumu Saa explain ukirudi home, mkono tupu Surprise ni nzi kwa supu, mpige munju Kufurahisha dunia ni kaa kufanya, panya E-hug ndovu, ni ngumu Kuna watu saa hii saa hii hawataki kukuona free Pengine na sururu Ukimanga mururu jela kukuru kakara na mafukuru Walifufuka jana saa hii utasemaje una-dush kwa nyumba? Umefuga kunguru mzee! ... [Hook] [Lady voice] Just-hit-low productions [Kitu sewer] Faaaaaaaaaaaaanya saa hii saa hiiiiiiiiiiii [Fadeout]