Kitu Sewer - Pesa Pombe na Wanawake lyrics

Published

0 688 0

Kitu Sewer - Pesa Pombe na Wanawake lyrics

Verse 1 (Kitu Sewer) Shuku macho zinakuangalia Shuku mikono zinakusalimia Zimetoka wapi Shuku barua unaandikiwa bila address Na pesa unapewa ovyo ovyo Utalipa na damu Chuki ndio inafichwa na salaam Guza pesa na jina chunga Usipatwe na bibi ya msee Position mbaya Unaunganisha wire ya stima na maji MC anatumia solar energy Hakuna msee ako na allergy ya pesa Wanasiasa Wananitaka mi kwa ma-ambulance Au kwa Mercedes Benz] Ma-two thirty system za multi party zituvute katikati ka kamba ya tug of war Ipi ndio refu ni mkono ya law ama ya wezi Maskio zinapokea Frequency ya senti ka zinagongana socks Zinachomelewa ka umevaa ndula Nguo ka haijakauka Radio ka inaimba Sembe ka haijaiva Ka uko kwa bafu curfew Ya mwanaume by saa tatu Usikose kwa bar Polygamy bibi wa kwanza pombe Tamaa za tumbo na kimwili Eighty percent ya akili Wanaume ni kwa pesa na kwa opposite s** Ndio maana hapa enzi isha wezi na malaya Kesho wataitwa mama ndio ma-s** worker Ma-pick pocket ukiwaka ndio Pesa zinapotelea In the thin air Ka Shimoli kwa High Court Pesa ndio power Pesa ndio inagawa family bwana na bibi Ndio inagawa society nzima maskini na matajiri Chorus Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Verse 2 (Gwiji) Watu wengine Wanahubiri maji lakini wanakunywa vinywaji tofauti Ghost names kwa list yako ya mshahara Niki-handle biashara naangusha kibiro Amsha ki-Viagra inside hasara Kwa doki imeandikwa tu hivi sigara Ndio urembo natural Msichana anaharibiwa akiwa mdogo raaa Nina feeling ka nitaendelea kuishi ntakuwa mdosi na utosini nina kihara Uso nionyeshe mafikira Harufu ya chwara kwa secret admirer Tuko Kenya ya miraa, furaha Kwafaa weddings uendee funeral Kika yote! Nakuwa constructive na time yangu juu hakuna job Mambo yote! Yako ya privacy yanaingiliwa na press Ki-Milton Obote! Unafukuzwa kwenu hakuna uzuri kwote! Rudi twende after kamkunji tumevalia masuti mamua ndani ya briefcase Nikitaka kujua Ka iko ndani inaharibika ntaangalia namba ishia Na makorna kwa butchery Bado Sina upendo kwa polisi Bado Brother hawezi uma njaro Chorus Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Verse 3 (Kitu Sewer) Kifo Ndio haijui utoto na uzee Cell ndio watalala minister na chokoch Gun ndio haijui ka umejaa ama umekonda Kifo ni moja Shida ni kuingoja Nani ndio nani mahabusu amevaa Nyeupe vi-angel Ma-pastor wamevaa Nyeusi videvo Ma-conmen Wameekelea sura za wasamaria wema Pastor kwa hema anaponya Vipofu na viwete wanaona na wanatembea Actually aliwa-hire Kaa kando na siasa Kupindua akili ya mjinga Ni ka kupindua O upside down Mi ni talk of the town ka si Pesa pombe na, wanawake nami Kwote watu wa mtaa ni wezi Kwote wanafanyi kazi wa bank ni wezi Walichora kila kitu kwa map Tunaongozwa na pesa na saa Ndio tunaiva kwa makaa Inaotwa na wanasiasa Nina maswali haiananga answer Tulichagua mayor ama nightmare your worship City ime-turn yellow juu ya makojoo Sewage zimetoboka, barabara mbaya mbaya Takataka za hotel kubwa kubwa zinatupwa kwa slums Na guns za makarao Zinatoa chuma badala ya rubber saa za riots Chorus Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Pesa pombe siasa na wanawake (pesa) Ndio zitafanya wanaume wauane (pombe) Pesa pombe siasa na wanawake (siasa) Ndio zitafanya wanaume wazunguke (na wanawake) Verse 4 (Gwiji) Na Shimoli wao nao virgins na ball Hitmans pastor na wee mnapenda pesa Sa-sa Naishi leo Ni ka hakuna kesho Kwa marafiki Kuna wasaliti Hii story ni ka ya Dame ali-lose virginity Kuwa akitafuta Mr. Right Waongezwe violence kwa robbery Ma-debt za kisiri Masiri zinakuweka kwa hatari Alafu inakaa ulipata heart attack ama accident ya gari Deputy anafurahia ku-inherit Unasifiwa ulikuwa mpoa ukishadedi Kila ndururu na sipendi Ka haunipendi sikupendi Masiku za wiki ikuwe tu ni weekendi Tuna-commit sins zina-annoy the devil Kila level ya kesi ki-Biwott Okota kwa hizi controversy Na kuchukua to your wildest fantasy Siwezi ishi bila radio Bla bla bla ow! Wow! Mwanamke akiwa mang'aa Mrudishe kwao Na-represent Waafrika wapendanao Na wakusanyikusanyi kwa barabara Lakini wanafanya maajabu wakiwa peke yao Sa tutalala njaa au tutaiba Sa watatuita scrubs au pigeons Mixing business with pleasure Honey, alifanya tukosane na ndugu Money, ilifanya tukosane na ndugu